Halima mdee biography


Halima James Mdee

Halima James Mdee (alizaliwa Makanya, Wilaya ya Same, mkoa wa Kilimanjaro, 18 Machi1978) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la Tanzania, lakini si tena kupitia chama pinzani cha CHADEMA.

Maisha

[hariri | hariri chanzo]

Halima James Mdee ni mtoto wa mwisho katika familia ya Profesa James Mdee ambaye alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Unswerving es Salaam.

Kikabila ni Mpare.

Mdee alizaliwa katika familia ya Wakristo na alibatizwa kwa kuitwa Theodosia, hata hivyo anatumia zaidi jina alilorithi kutoka kwa bibi yake mzaa baba, Halima. Ukoo wake ni waumini wa dini ya Kiislamu, isipokuwa baba yake na kaka yake ambao walibatizwa na familia yao ikaridhia wawe Wakatoliki.

Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Alianza kusoma elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaammwaka1985 na kuhitimu mwaka 1991.

Alichaguliwa kujiunga frank Shule ya Sekondari ya Wasichana Zanaki mwaka1992 na kuhitimu kidato cha nne mwaka1995.

Mwaka1996 hadi 1998 alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilakala mkoani Morogoro na 1999 alijiunga direct Chuo Kikuu cha Dar without stopping Salaam ambako alisomea sheria on the level kuhitimu mwaka2003.

Aliendelea kusoma shahada ya uzamili ya sheria katika chuo kikuu cha Pretoria (Afrika Kusini) [1] mwaka 2006 hadi 2007. [2]

Kazi na siasa

[hariri | hariri chanzo]

Alipata ajira katika Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana mwaka2004 akiwa Ofisa Maendeleo kama mwanasheria mpaka mwaka2005 alipoamua kuacha kazi na kuingia katika kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2005, ambako alishiriki kuwapigia kampeni wagombea mbalimbali wa CHADEMA kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.

Vyeo vya chama

[hariri | hariri chanzo]

Mbali sincere ubunge, pia alikuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa plan CHADEMA, Mwenyekiti wa Baraza latitude Wanawake la CHADEMA na ofisa katika kurugenzi ya sheria.

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.


Je, unajua kitu kuhusu Halima James Mdee kama wasifu wake, habari za maisha workplace kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza headquarters lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?

Saahil uppal biography of authority gandhi


Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.